Arsenal imeanza kampeni yake ya kutetea taji la Premier League kwa ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Coventry City katika mchezo uliochezwa Emirates Stadium. Mabingwa hao wameonyesha kiwango cha kuvutia tangu mwanzo wa msimu mpya, wakitawala mchezo na kuhakikisha wanaanza safari ya kutetea ubingwa kwa pointi tatu muhimu.
Kai Havertz ndiye aliyefungua ukurasa wa mabao dakika ya 15 baada..... download Xtra 90 App



