Manchester United imeanza vibaya msimu mpya wa Premier League 2026/27 baada ya kuchapwa mabao 2-0 na Hull City katika mchezo wa ufunguzi uliochezwa leo, Agosti 22, 2026, kwenye Uwanja wa MKM.
United, chini ya kocha Michael Carrick, iliingia kwenye mchezo huo ikiwa na matumaini ya kuanza msimu kwa ushindi, lakini ilijikuta ikipata pigo kubwa kutoka kwa Hull City ambayo imerejea kwenye ligi..... download Xtra 90 App



