Simba SC imeendeleza rekodi yake ya ushindi wa asilimia 100 katika mechi za ugenini baada ya kuichapa Singida Black Stars (Singida BS) mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania uliopigwa kwenye Uwanja wa Airtel, mkoani Singida.
Ushindi huo umeiwezesha Simba kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi, huku ikiwa imekamilisha ratiba ngumu ya mechi tatu mfululizo ugenini kwa kuvuna alama zote..... download Xtra 90 App



