Luvanga Atupia Bao Saba Katika Ushindi wa Al Nassr

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said • 24th August 2026

Luvanga Atupia Bao Saba Katika Ushindi wa Al Nassr

Mshambuliaji wa Tanzania Clara Luvanga ameendelea kung'ara nchini Saudi Arabia baada ya kufunga mabao saba katika ushindi wa 12-0 wa Al Nassr Women dhidi ya FC CSKA Dushanbe, katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Bara la Asia uliochezwa nchini humo.

Luvanga alifunga mabao hayo dakika za 33, 35, 39, 69, 74, 87 na 89, akitoa mchango mkubwa katika ushindi huo mnono wa Al Nassr. Mabao hayo yameendelea kuonyesha uwezo wake wa kufunga na kumfanya kuwa miongoni mwa wachezaji wanaofanya vizuri katika mashindano hayo.

Kwa jumla, Luvanga sasa amefikisha mabao 12 katika mashindano hayo baada ya kucheza michezo mitatu, huku akibaki kuwa moja ya nyota muhimu katika safu ya ushambuliaji ya Al Nassr Women.

More Stories

Julián Álvarez Aingia Kwenye Presha nzito, Atlético Yataka €150M.
Julián Álvarez Aingia Kwenye Presha nzito, Atlético Yataka €150M.
Today, READ MORE →
Mohamed Salah Aanza Vema Trabzonspor
Mohamed Salah Aanza Vema Trabzonspor
Today, READ MORE →
Luvanga Atupia Bao Saba Katika Ushindi wa Al Nassr
Luvanga Atupia Bao Saba Katika Ushindi wa Al Nassr
Today, READ MORE →
Serikali: Tamasha la Taifa kuchochea utamaduni, utaifa na uchumi bunifu
Serikali: Tamasha la Taifa kuchochea utamaduni, utaifa na uchumi bunifu
Today, READ MORE →
Barcelona yaanza kutetea ubingwa La Liga kwa kishindo
Barcelona yaanza kutetea ubingwa La Liga kwa kishindo
Today, READ MORE →
Azam Fc, Mbeya City zatakata ligi kuu
Azam Fc, Mbeya City zatakata ligi kuu
Today, READ MORE →
EPL Updates, Brighton, City mambo mazuri huku Liverpool ikianza na sare.
EPL Updates, Brighton, City mambo mazuri huku Liverpool ikianza na sare.
Today, READ MORE →
Highlights : Azam Fc 2-1 Pamba Jiji
Highlights : Azam Fc 2-1 Pamba Jiji
Today, READ MORE →
Bouaddi kurithi mikoba ya Rodri Manchester City
Bouaddi kurithi mikoba ya Rodri Manchester City
Today, READ MORE →
Manqoba akiri JKT Tanzania sio ya kubeza
Manqoba akiri JKT Tanzania sio ya kubeza
Yesterday, READ MORE →