Mohamed Salah Aanza Vema Trabzonspor

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said • 24th August 2026

Mohamed Salah Aanza Vema Trabzonspor

Nahodha na mshambuliaji wa Misri, Mohamed Salah, ameanza vema safari yake ndani ya Trabzonspor baada ya kuisaidia timu hiyo kupata ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo uliochezwa jana.

Salah ndiye aliyefunga mabao yote mawili ya Trabzonspor, akionyesha uwezo mkubwa wa kuisaidia timu yake katika harakati za kuwania matokeo mazuri kwenye msimu huu wa ligi.

Ushindi huo umeifanya Trabzonspor kufikisha jumla ya alama nne baada ya michezo miwili, huku ikipanda hadi nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu ya Uturuki.

Mwanzo huo mzuri wa Salah umeongeza matumaini kwa mashabiki wa Trabzonspor, huku nyota huyo akitarajiwa kuendelea kuwa mhimili muhimu katika safu ya ushambuliaji ya timu hiyo katika michezo ijayo.

More Stories

Julián Álvarez Aingia Kwenye Presha nzito, Atlético Yataka €150M.
Julián Álvarez Aingia Kwenye Presha nzito, Atlético Yataka €150M.
Today, READ MORE →
Mohamed Salah Aanza Vema Trabzonspor
Mohamed Salah Aanza Vema Trabzonspor
Today, READ MORE →
Luvanga Atupia Bao Saba Katika Ushindi wa Al Nassr
Luvanga Atupia Bao Saba Katika Ushindi wa Al Nassr
Today, READ MORE →
Serikali: Tamasha la Taifa kuchochea utamaduni, utaifa na uchumi bunifu
Serikali: Tamasha la Taifa kuchochea utamaduni, utaifa na uchumi bunifu
Today, READ MORE →
Barcelona yaanza kutetea ubingwa La Liga kwa kishindo
Barcelona yaanza kutetea ubingwa La Liga kwa kishindo
Today, READ MORE →
Azam Fc, Mbeya City zatakata ligi kuu
Azam Fc, Mbeya City zatakata ligi kuu
Today, READ MORE →
EPL Updates, Brighton, City mambo mazuri huku Liverpool ikianza na sare.
EPL Updates, Brighton, City mambo mazuri huku Liverpool ikianza na sare.
Today, READ MORE →
Highlights : Azam Fc 2-1 Pamba Jiji
Highlights : Azam Fc 2-1 Pamba Jiji
Today, READ MORE →
Bouaddi kurithi mikoba ya Rodri Manchester City
Bouaddi kurithi mikoba ya Rodri Manchester City
Today, READ MORE →
Manqoba akiri JKT Tanzania sio ya kubeza
Manqoba akiri JKT Tanzania sio ya kubeza
Yesterday, READ MORE →