Bernard Kamungo ajumuishwa rasmi kwenye kikosi cha Taifa Stars.

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media β€’ 4th September 2026

Bernard Kamungo ajumuishwa rasmi kwenye kikosi cha Taifa Stars.

Kiungo mshambuliaji wa FC Dallas ya Marekani, Bernard Kamungo, mwenye umri wa miaka 24, ameitwa rasmi kwenye kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya michezo ya kufuzu AFCON 2027.

Kamungo anarejea kuipa kipaumbele Tanzania katika ngazi ya kimataifa baada ya hapo awali kuitumikia Marekani katika kikosi cha U-23, pamoja na kucheza mchezo mmoja wa kirafiki akiwa na kikosi cha Senior Team.

Kuitwa kwake Taifa Stars kunatarajiwa kuongeza ubunifu na nguvu katika safu ya ushambuliaji ya timu hiyo, huku mashabiki wakisubiri kumuona akivaa jezi ya Tanzania katika michezo ijayo ya kimataifa.

More Stories

Massanza akumbana na fainali kamati ya saa 72

Today, READ MORE β†’
Kangwanda: Tumejiandaa vizuri, tutatoa kila kitu uwanjani.

Bodi ya ligi tanzania bara yafuta kadi nyekundu ya Gibril sillah wa Azam

Mngqithi: Gaborone United ni timu imara, Yanga inakabiliwa na mtihani mgumu.

Ahmed Ally atuma ujumbe mzito kwa wachezaji wa Simba kuelekea mchezo dhidi ya Mighty wanderers

Aziz KI apewa mazoezi ya ziada kuingamiza Gaborone united kesho
Aziz KI apewa mazoezi ya ziada kuingamiza Gaborone united kesho
Today, READ MORE β†’
Bernard Kamungo ajumuishwa rasmi kwenye kikosi cha Taifa Stars.
Bernard Kamungo ajumuishwa rasmi kwenye kikosi cha Taifa Stars.
Today, READ MORE β†’
Kikosi Cha awali Taifa Stars hadharani kufuzu Afcon 2027

CAF yakagua arusha kujiweka tayari kwa afcon 2027.

Rushine aahidi makubwa kimataifa, Simba ikielekea malawi