Clatous Chama : Nilijutia kuondoka simba

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 4th September 2026

Clatous Chama : Nilijutia kuondoka simba

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama, ameweka wazi kipindi kigumu alichopitia baada ya kuondoka Msimbazi na kujiunga na watani wao wa jadi, Yanga SC, akisema uamuzi huo ulimletea majuto makubwa.

Chama amesema siku aliyosaini mkataba na Yanga haikuwa siku nzuri kwake, akieleza kuwa alijutia uamuzi huo na baadaye alijaribu kuwasiliana na uongozi wa Yanga ili kurejesha kila kitu na kurejea Simba, lakini ombi lake lilikataliwa. “Nilimpigia Rais wa Yanga na kumwambia narudisha kila kitu ili nirudi Simba, lakini akakataa,” amesema Chama.

Akizungumzia zaidi kipindi hicho, Chama amesema hakuwahi kupanga kujiunga na Yanga na kwamba uamuzi huo ulitokea bila kuwa sehemu ya mipango yake. Hata hivyo, amesema kurejea Simba kulimletea furaha yeye pamoja na familia yake, huku kwa sasa akiendelea kuitumikia klabu hiyo na kuchangia katika msimu huu.

More Stories

Real Madrid na PSG zakutana na vipigo katika ligi zao.
Real Madrid na PSG zakutana na vipigo katika ligi zao.
Today, READ MORE β†’
Chama: Ilikuwa ngumu kucheza dhidi ya simba nikiwa na jezi ya timu nyingine
Chama: Ilikuwa ngumu kucheza dhidi ya simba nikiwa na jezi ya timu nyingine
Today, READ MORE β†’
Clatous Chama : Nilijutia kuondoka simba
Clatous Chama : Nilijutia kuondoka simba
Today, READ MORE β†’
Massanza akumbana na fainali kamati ya saa 72
Massanza akumbana na fainali kamati ya saa 72
Today, READ MORE β†’
Kangwanda: Tumejiandaa vizuri, tutatoa kila kitu uwanjani.
Kangwanda: Tumejiandaa vizuri, tutatoa kila kitu uwanjani.
Today, READ MORE β†’
Bodi ya ligi tanzania bara yafuta kadi nyekundu ya Gibril sillah wa Azam
Bodi ya ligi tanzania bara yafuta kadi nyekundu ya Gibril sillah wa Azam
Today, READ MORE β†’
Mngqithi: Gaborone United ni timu imara, Yanga inakabiliwa na mtihani mgumu.
Mngqithi: Gaborone United ni timu imara, Yanga inakabiliwa na mtihani mgumu.
Today, READ MORE β†’
Ahmed Ally atuma ujumbe mzito kwa wachezaji wa Simba kuelekea mchezo dhidi ya Mighty wanderers
Ahmed Ally atuma ujumbe mzito kwa wachezaji wa Simba kuelekea mchezo dhidi ya Mighty wanderers
Today, READ MORE β†’
Aziz KI apewa mazoezi ya ziada kuingamiza Gaborone united kesho
Aziz KI apewa mazoezi ya ziada kuingamiza Gaborone united kesho
Today, READ MORE β†’
Bernard Kamungo ajumuishwa rasmi kwenye kikosi cha Taifa Stars.
Bernard Kamungo ajumuishwa rasmi kwenye kikosi cha Taifa Stars.
Today, READ MORE β†’