Local, Normal News, Simba SC, TFF, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Miguel Gamondi

Gamondi aenda Simba kujenga ushirikiano na TFF

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu
โ€ข
2h ago
Gamondi aenda Simba kujenga ushirikiano na TFF

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Miguel Gamondi, ameongozana na maafisa wa benchi la ufundi pamoja na viongozi wa TFF katika ziara ya Simba SC, ikiwa ni sehemu ya kujenga na kuimarisha ushirikiano kati ya klabu hiyo na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), hususan katika masuala yanayohusu Timu za Taifa.

Ziara hiyo inalenga kuimarisha mawasiliano na mahusiano kati ya Simba na TFF, ili pande hizo ziweze kufanya kazi kwa pamoja kwa manufaa ya Taifa Stars.

Gamondi ndiye Kocha Mkuu wa Taifa Stars, huku TFF ikiendelea kumshirikisha pamoja na benchi lake la ufundi katika mipango na maandalizi ya timu ya taifa.

More Stories

Pacome Zouzoua sehemu ya jeshi la yanga ikiingamiza Gaborone
Pacome Zouzoua sehemu ya jeshi la yanga ikiingamiza Gaborone
4h ago
READ MORE โ†’
Yanga yatangaza โ€œSele Dayโ€ kumkaribisha Selemani Mwalimu Jangwani
Yanga yatangaza โ€œSele Dayโ€ kumkaribisha Selemani Mwalimu Jangwani
4h ago
READ MORE โ†’
Yanga yafungua milango azam complex, viingilio dhidi ya Gaborone vyatajwa
Yanga yafungua milango azam complex, viingilio dhidi ya Gaborone vyatajwa
4h ago
READ MORE โ†’
Hersi ajibu tuhuma za kumlazimisha Chama Yanga
Hersi ajibu tuhuma za kumlazimisha Chama Yanga
5h ago
READ MORE โ†’
Rasmi: UEFA yaagiza dakika moja ya ukimya kwa Nepal.
Rasmi: UEFA yaagiza dakika moja ya ukimya kwa Nepal.
6h ago
READ MORE โ†’
Rasmi: TRA yamfuta kazi kocha Etienne Ndayiragije.
Rasmi: TRA yamfuta kazi kocha Etienne Ndayiragije.
17h ago
READ MORE โ†’
Azam Fc yabeba points tatu NBC Premier League mbele ya Namungo.
Azam Fc yabeba points tatu NBC Premier League mbele ya Namungo.
17h ago
READ MORE โ†’
Tevez kuvunja mwiko, Messi na Ronaldo kucheza timu moja
Tevez kuvunja mwiko, Messi na Ronaldo kucheza timu moja
1d ago
READ MORE โ†’
Ziyech aagana na afrika, aanza safari mpya Brazil na Botafogo
Ziyech aagana na afrika, aanza safari mpya Brazil na Botafogo
1d ago
READ MORE โ†’