Local, Normal News, NBC Premier League, TRA United

Rasmi: Hemed Suleiman “Morocco” ametangazwa kocha mpya wa TRA United

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
3h ago
Rasmi: Hemed Suleiman “Morocco” ametangazwa kocha mpya wa TRA United

TRA United imemtangaza rasmi Hemed Suleiman “Morocco” kuwa kocha Mkuu wa timu hiyo, akichukua nafasi ya Etienne Ndayiragije ambaye ametenguliwa na klabu hiyo.

Morocco anarudi kwenye benchi la TRA United akiwa na jukumu la kurekebisha mwenendo wa timu na kuhakikisha inapata matokeo mazuri katika michezo ijayo ya NBC Premier League.

Uongozi wa TRA United sasa unaweka imani kwa kocha huyo mpya kuiongoza timu katika hatua inayofuata, huku mashabiki wakisubiri kuona mabadiliko yatakayofanywa na Morocco ndani ya kikosi.

More Stories

Wapinzani wa Simba, Mighty Wanderers kutua nchini leo wakitokea Malawi
Wapinzani wa Simba, Mighty Wanderers kutua nchini leo wakitokea Malawi
3h ago
READ MORE →
Manqoba anautaka ubingwa Afrika
Manqoba anautaka ubingwa Afrika
3h ago
READ MORE →
Uefa champions League: matokeo ya mechi 6 za kibabe leo.
Uefa champions League: matokeo ya mechi 6 za kibabe leo.
21h ago
READ MORE →
Clara Luvanga aweka historia Marekani, asajiliwa kwa rekodi Tanzania
Clara Luvanga aweka historia Marekani, asajiliwa kwa rekodi Tanzania
1d ago
READ MORE →
Gamondi ateta na viongozi, benchi la ufundi Yanga
Gamondi ateta na viongozi, benchi la ufundi Yanga
1d ago
READ MORE →
Kimoto akalia kuti kavu baada ya kipigo dhidi ya Mashujaa Fc
Kimoto akalia kuti kavu baada ya kipigo dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE →
Chama aweka wazi kinachoendelea nje ya uwanja, si sehemu ya maisha yangu
Chama aweka wazi kinachoendelea nje ya uwanja, si sehemu ya maisha yangu
1d ago
READ MORE →
Doumbia akiri mambo magumu, haijawahi kutokea
Doumbia akiri mambo magumu, haijawahi kutokea
1d ago
READ MORE →
Morocco apindua meza TRA United, kumrithi Ndayirajige
Morocco apindua meza TRA United, kumrithi Ndayirajige
1d ago
READ MORE →