Local, Normal News, CAF Champions League, Simba Sc, Mighty Wanderes

Simba kuumana na Mighty wanderers leo uwanja wa uhuru

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
2h ago
Simba kuumana na Mighty wanderers leo uwanja wa uhuru

CAF Champions League inaendelea leo jijini Dar es Salaam, ambapo Simba SC itashuka Uwanja wa Uhuru kuikabili Mighty Wanderers ya Malawi katika mchezo wa marudiano wa hatua ya awali.

Simba inaingia kwenye mchezo huu ikiwa na faida ya bao 1-0 iliyopatikana katika mchezo wa kwanza nchini Malawi kupitia bao la Anicet Oura.

Wekundu wa Msimbazi wanahitaji kulinda faida hiyo na kuhakikisha wanafuzu kwenda hatua inayofuata ya michuano hiyo ya juu Afrika.

Mighty Wanderers, kwa upande wao, wanahitaji ushindi ili kubadilisha matokeo ya jumla na kuendelea na safari yao katika CAF Champions League.

Mchezo huo unapigwa leo Uwanja wa Uhuru kuanzia saa 10:00 jioni.

More Stories

EPL leo: mechi mbili za moto, Manchester derby kutafutwa mbabe
EPL leo: mechi mbili za moto, Manchester derby kutafutwa mbabe
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatinga hatua inayofuata CAF baada ya kuiondoa Gaborone United
Yanga yatinga hatua inayofuata CAF baada ya kuiondoa Gaborone United
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yaichapa Gaborone United 2-1 Azam Complex
Yanga yaichapa Gaborone United 2-1 Azam Complex
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 2-1 Gaborone United
Highlights : Yanga 2-1 Gaborone United
16h ago
READ MORE β†’
Barker apania kuendeleza ubabe dhidi ya Mighty Wonderers
Barker apania kuendeleza ubabe dhidi ya Mighty Wonderers
1d ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 25, Septemba 12 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 25, Septemba 12 2026
1d ago
READ MORE β†’
EPL leo: mechi saba za kibabe
EPL leo: mechi saba za kibabe
1d ago
READ MORE β†’
CAF Champions league kuendelea leo
CAF Champions league kuendelea leo
1d ago
READ MORE β†’
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
1d ago
READ MORE β†’