Wanasimba wajivunia Libasse Gueye kuelekea mtanange wa dabi dhidi ya Yanga

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu
β€’
2h ago
Wanasimba wajivunia Libasse Gueye kuelekea mtanange wa dabi dhidi ya Yanga

Wanasimba wameendelea kuonyesha kujiamini kuelekea mchezo wa dabi dhidi ya Yanga, wakisema ili kujisifia vizuri katika mchezo huo, lazima timu iwe tayari kumkabili winga wa Simba SC, Libasse Gueye, kutokana na kiwango anachokionyesha hivi sasa.

Kauli hizo zimekuja kufuatia taarifa zilizoibuka zikidai kuwa Libasse Gueye anaweza kukosa mchezo huo kutokana na majeraha.

Hata hivyo, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amekanusha taarifa hizo na kusema mchezaji huyo yupo fiti na tayari kwa mchezo wa dabi.

Kwa kipindi cha hivi karibuni, Libasse Gueye amekuwa akionyesha kiwango kizuri katika Ligi Kuu Tanzania, huku akivuta usikivu kutokana na uwezo wake wa kucheza pembeni ya uwanja.

Mchezaji huyo amekuwa akisifiwa kwa kasi yake akiwa na mpira, uwezo wa kupiga mashuti pamoja na mbinu zake za kuwapita mabeki kwa chenga.

Kiwango hicho ndicho kinachowafanya baadhi ya mashabiki wa Simba SC kuamini kuwa uwepo wa Libasse Gueye kwenye mchezo wa dabi unaweza kuwa sehemu muhimu ya mipango ya timu hiyo dhidi ya Yanga.

ADVERTISE HERE

More Stories

JKT Tanzania, Fountain Gate watamba kuelekea mtanange wa NBC Premier League
JKT Tanzania, Fountain Gate watamba kuelekea mtanange wa NBC Premier League
46m ago
READ MORE β†’
TPLB yaweka msisitizo wa wajibu kabla ya Kariakoo Derby
TPLB yaweka msisitizo wa wajibu kabla ya Kariakoo Derby
1h ago
READ MORE β†’
Kariakoo Derby - mfumo wa tiketi warejea utaratibu wa awali
Kariakoo Derby - mfumo wa tiketi warejea utaratibu wa awali
1h ago
READ MORE β†’
Ronaldo amtumia Messi ujumbe wa heshima baada ya kuaga Argentina
Ronaldo amtumia Messi ujumbe wa heshima baada ya kuaga Argentina
1h ago
READ MORE β†’
Ligi Kuu NBC inaendelea leo Alhamisi baada ya FIFA break
Ligi Kuu NBC inaendelea leo Alhamisi baada ya FIFA break
2h ago
READ MORE β†’
Taifa stars yashuka nafasi tatu viwango vya fifa
Taifa stars yashuka nafasi tatu viwango vya fifa
2h ago
READ MORE β†’
Simba yataja sababu kuchelewa mauzo ya tiketi
Simba yataja sababu kuchelewa mauzo ya tiketi
5h ago
READ MORE β†’
Msimu wa tatu wa Safari Lager Cup wazinduliwa
Msimu wa tatu wa Safari Lager Cup wazinduliwa
20h ago
READ MORE β†’
Pedro astaafu soka baada ya safari yenye mafanikio.
Pedro astaafu soka baada ya safari yenye mafanikio.
22h ago
READ MORE β†’
Ahmed Ally: Steve Barker haioni Simba kama mnyonge mbele ya Yanga
Ahmed Ally: Steve Barker haioni Simba kama mnyonge mbele ya Yanga
22h ago
READ MORE β†’