Yanga tumejipanga vizuri kuikabili Simba - Manqoba Mngqithi

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu
β€’
1h ago
Yanga tumejipanga vizuri kuikabili Simba - Manqoba Mngqithi

Kocha Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, amesema kikosi chake kimejiandaa vizuri na kiko tayari kwa mchezo wa dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba SC unaotarajiwa kuchezwa kesho.

Mngqithi amesema Yanga haihofii Simba, akieleza kuwa anamfahamu vizuri kocha wa wapinzani wao, Steve Barker, jambo linalompa uelewa kuhusu namna ya kukabiliana na timu hiyo katika mchezo huo.

Amesisitiza kuwa maandalizi waliyofanya yamewaweka katika hali nzuri kuelekea dabi hiyo, huku akiamini kuwa wachezaji wake wako tayari kutekeleza maelekezo ya benchi la ufundi ndani ya uwanja.

Dabi hiyo ya Kariakoo inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na upinzani wa muda mrefu kati ya Simba na Yanga, huku timu zote zikilenga kupata matokeo mazuri dhidi ya wapinzani wao wa jadi.

ADVERTISE HERE

More Stories

Tupo tayari kupambana na kupata matokeo dhidi ya Yanga: Neo Maema
Tupo tayari kupambana na kupata matokeo dhidi ya Yanga: Neo Maema
47m ago
READ MORE β†’
Steve Barker azungumzia ubora wa Yanga kuelekea Kariakoo Derby
Steve Barker azungumzia ubora wa Yanga kuelekea Kariakoo Derby
1h ago
READ MORE β†’
Ahmed Arajiga kuchezesha dabi ya Simba na Yanga kesho
Ahmed Arajiga kuchezesha dabi ya Simba na Yanga kesho
1h ago
READ MORE β†’
Mama Ronaldo asimulia baada ya mwanawe kuondoka kambini Portugal
Mama Ronaldo asimulia baada ya mwanawe kuondoka kambini Portugal
2h ago
READ MORE β†’
Lwandamina amtaja Kangwanda kuwa tishio zaidi kwenye dabi kesho
Lwandamina amtaja Kangwanda kuwa tishio zaidi kwenye dabi kesho
2h ago
READ MORE β†’
Yanga imeficha nyeupe dabi ya Kariakoo
Yanga imeficha nyeupe dabi ya Kariakoo
2h ago
READ MORE β†’
Ligi Kuu kuendelea leo Ijumaa, mechi nne kupigwa
Ligi Kuu kuendelea leo Ijumaa, mechi nne kupigwa
2h ago
READ MORE β†’
Kocha Simba ataja mambo muhimu matatu kuelekea dabi ya kariakoo
Kocha Simba ataja mambo muhimu matatu kuelekea dabi ya kariakoo
2h ago
READ MORE β†’
Pamba Jiji yazindukia kwa Geita Gold, yashinda 4-0 CCM Kirumba
Pamba Jiji yazindukia kwa Geita Gold, yashinda 4-0 CCM Kirumba
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Pamba Jiji 4-0 Geita Gold
Highlights : Pamba Jiji 4-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’