Yanga U-20 dimbani Mkwakwani leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Mar 2021
Yanga U-20 dimbani Mkwakwani leo

Leo Jumatano, kikosi cha timu ya vijana ya Yanga umri chini ya miaka 20, kitashuka katika dimba la Mkwakwani kuikabili Coastal Union ukiwa ni mchezo wa ligi kuu ya vijana

Mchezo huo utapigwa kuanzia saa tatu asubuhi

Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo Fc katika mchezo wa kwanza, vijana wa Yanga watakuwa na nafasi ya kuendeleza wimbi la ushindi katika michuano hiyo ambayo kipaumbele ni kushinda ubingwa

Msimu huu Yanga imeweka mkakati wa kuhakikisha wanashinda kila taji ambalo timu zao zinashiriki kuanzia ligi ya wakubwa (VPL) , Wanawake na hili la vijana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’