Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji Carlinhos raia wa Angola
Carlinhos alianza msimu vyema, kabla ya kupata majeraha ambayo yalimuweka nje kwa takribani miezi mitatu
Alirejea akiwa imara lakini akapata kadi nyekundu katika mchezo wa kombe la FA, ambapo amelazimika kukosa michezo mitatu
Tayari amekosa mechi mbili, akitarajiwa kurejea dimbani baada ya mchezo wa kombe la FA dhidi ya Tanzania Prisons
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu
Happy Birthday Carlinhos..!
ADVERTISE HERE