Shujaa anaagwa uwanja wa Uhuru

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Mar 2021
Shujaa anaagwa uwanja wa Uhuru

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, awamu ya tano Hayati Dk John Magufuli unaagwa leo jijini Dar es salaam Wananchi wa Dar wakipewa siku mbili za kumuaga shujaa huyo wa Taifa

Zoezi la kuagwa mwili limetanguliwa na ibada ya kumuombea kiongozi huyo kipenzi cha Watanzania

Hakika huu ni wakati wa huzuni kubwa kwa Taifa la Tanzania kutokana na kumpoteza kiongozi shupavu aliyejipambanua kuwa mtetezi wa wanyonge na aliyeipenda Tanzania kwa dhati

Buriani JPM

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
25m ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
49m ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
4h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
9h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’