Wachezaji na viongozi wa klabu ya Yanga leo walipata nafasi ya kujumuika na Wananchi wengine wa jijini Dar es salaam kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Awamu ya tano hayati Dk John Magufuli aliyefariki dunia hivi karibuni









ADVERTISE HERE