Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itaondoka nchini Kenya kesho Jumanne kuelekea Guinea ya Ikweta ambako inakabiliwa na mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu fainali za Afcon 2021
Machi 25 Tanzania inakabiliwa na mchezo muhimu dhidi ya Guinea ya Ikweta
Stars iliweka kambi Kenya kujiandaa na mechi mbili za mwisho kuwania tiketi ya kutinga fainali za michuano hiyo
Kikosi cha Stars kikiwa chini ya kocha Kim Poilsen leo kimekamilisha maandalizi ya mwisho katika uwanja wa Utalii, Nairobi


ADVERTISE HERE