Ntibazonkiza dimbani Burundi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Mar 2021
Ntibazonkiza dimbani Burundi

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza jioni ya leo atakuwa na majukumu ya timu yake ya Taifa ya Burundi katika mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu fainali za Afcon 2021 dhidi ya Afrika ya Kati

Baada ya kukosekana dimbani kwa takribani miezi miwili kutokana na majeraha, Ntibazonkiza sasa yuko imara kwa asilimia 100 tayari kuiwakilisha timu yake ya Taifa

Wananchi tunamuombea dua njema aweze kukamilisha majukumu yake salama ili arejee Yanga akiwa imara tayari kwa ngwe ya lala salama ligi kuu ya Vodacom na kombe la FA

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’