Huyu Ntibazonkiza ni hatari!

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Mar 2021
Huyu Ntibazonkiza ni hatari!

Tangu arejeshwe katika timu ya Taifa, kiungo mshambuliaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza, ameweka rekodi ya kutisha

Ntibazonkiza ambaye kwa sasa ndiye nahodha wa timu ya Taifa ya Burundi, tangu mwishoni mwa mwaka uliopita aliporejeshwa kikosini, amecheza mechi nne, amefunga katika kila mchezo

Ameweka kambani mabao matano. Kwenye michuano ya kufuzu Afcon, amefunga mabao manne

Hata katika kikosi cha Yanga takwimu zake ni tishio pia

Kwenye ligi amecheza mechi tatu tu, amefunga mabao mawili na kutoa pasi tatu za mabao

Wiki zake mbili ndani ya VPL zilitosha kumpa tuzo ya mchezaji bora wa ligi mwezi Disemba 2020

Hakuna shaka, Ntibazonkiza ataongeza nguvu katika kikosi cha Yanga kwenye mbio za kuwania ubingwa

Kama atakuwa timamu kwa asilimia 100, wananchi wajiandae kwa mambo mazuri

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’