Carlinhos ameiva sasa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Mar 2021
Carlinhos ameiva sasa

Carlos Fernandes Carmo 'Carlinhos' anahesabu dakika tu kabla ya kurejea kikosini kuendelea kuwatumikia Wananchi

Mwamba huyu amebakisha mchezo mmoja tu kumaliza adhabu ya kadi nyekundu aliyopewa kwenye mchezo wa kombe la FA dhidi ya Kengold Fc

Atakosa mchezo wa kombe la FA dhidi ya Tanzania Prisons kwa mujibu wa ratiba ilivyosasa

Amepata muda wa kutosha kufanya mazoezi na wenzake. Wananchi wajiandae kumshuhudia Carlinhos 'mpya' pale atakaporejea

Yanga inafanya mazoezi makali chini ya Kaimu Kocha Mkuu Juma Mwambusi ambaye ameapa kuirudisha timu katika ubora na uhakika wa kushindania ubingwa wa ligi kuu na kombe la FA

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
2h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
5h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
10h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
14h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’