Bossou bado hajaisahau Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Dec 2017
Bossou bado hajaisahau Yanga
Beki wa zamani wa Yanga Vicent Bossou amefunguka kweli kuwa bado ana mapenzi makubwa na klabu ya Yanga licha ya kushindwa kurejea.

Bossou raia wa Togo amesema alifurahia maisha yake alipokuwa Tanzania na alitengeneza marafiki wengi wakati alipokuwa kikosi cha Yanga.

Amewataka wachezaji wa Yanga wahakikishe wanatetea ubingwa uliopatikana msimu uliopita.

"Nilitamani kurudi kuichezea tena Yanga. Ni timu ambayo naipenda na hata kama nipo nje ya timu hiyo lakini naifatilia maendeleo yake," amefunguka Bossue.

"Tanzania ni nchi nzuri na nimetengeneza marafiki wengi ambao kwa namna moja ama nyingine nawakumbuka sana".

"Kikubwa wachezaji, benchi la ufundi na viongozi wahakikishe wanalinda ubingwa tulioupata 2016-17 pia kwenda mbali zaidi klabu bingwa"

Yanga ilijaribu kumrejesha bila mafanikio beki huyo wa Togo ambaye masharti yake yaliushinda uongozi kama ilivyokuwa kwa Haruna Niyonzima aliyetimkia Simba.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’