Job kuongeza ushindani wa mabeki Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Mar 2021
Job kuongeza ushindani wa mabeki Yanga

Wananchi bado hawajamshuhudia dimbani beki wao mpya Dickson Job aliyesajiliwa dirisha dogo akitokea klabu ya Mtibwa Sugar

Tangu asajiliwe na Yanga, Job amekuwa akiuguza majeraha ya goti ambayo pia yamemnyima nafasi ya kuitumikia timu ya Taifa katika michuano ya CHAN na Afcon inayofikia tamati leo kwa Tanzania kucheza na Libya

Habari njema ni kuwa Job amepona majeraha hayo na yuko tayari kurejea kikosini

Ameendelea kufanya mazoezini Kigamboni chini ya kocha Juma Mwambusi

Msimu huu safu ya ulinzi ya Yanga imewategemea zaidi nahodha Lamine Moro na Bakari Nondo Mwamnyeto

Pengine tutarajie mabadiliko katika eneo hilo baada ya kuongezeka Job ambaye atawania namba katika eneo hilo na Said Juma Makapu na Abdallah Shaibu 'Ninja'

Lakini Job atakuwa na faida zaidi kutokana na uwezo wake wa kucheza nafasi zaidi ya moja

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 20 anaweza kucheza nafasi zote za ulinzi pembeni lakini pia hata kiungo mkabaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’