Nyota waliokuwa timu za Taifa wapewa siku 3 kuwahi kambini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Mar 2021
Nyota waliokuwa timu za Taifa wapewa siku 3 kuwahi kambini

Mechi za kukamilisha ratiba ya kuwania tiketi ya kufuzu fainali za Afcon 2021 zinafikia tamati kesho

Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga Juma Mwambusi amewapa wachezaji wake siku tatu kuhakikisha wamerejea kikosini baada ya kukamilisha majukumu yao

DR Congo inacheza na Gambia leo wakati kesho Burundi wako ugenini dhidi ya Morocco na Rwanda wakiwa ugenini dhidi ya Cameroon

Wachezaji Mukoko Tomombe, Saido Ntibazonkiza na Haruna Niyonzima watachelewa kuungana na wenzao kutokana na kutokana na kukabiliwa na mechi hizo wakati wale waliokuwa timu ya Taifa ya Tanzania watajiunga na wenzao kuanzia leo

April 04 Yanga inakabiliwa na mchezo wa kombe la FA (ASFC) dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa Sumbawanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’