Fiston yuko tayari kurejea kikosini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Mar 2021
Fiston yuko tayari kurejea kikosini

Wakati wachezaji waliokuwa timu za Taifa wakitarajiwa kuanza kurejea kikosini, mshambuliaji Fiston Abdul Razak nae anatarajiwa kuanza mazoezi baada ya kupona majeraha ya misuli ya paja

Fiston aliumia katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania, mchezo uliomalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Nyota huyo raia wa Burundi ndiye aliyefunga bao pekee la Yanga katika mchezo huo ambao matokeo yake yalipelekea benchi la ufundi kuvunjwa

Jana Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi alisema Fiston anaendelea vizuri na wanatarajia ataungana na wenzake katika mazoezi ya Jumatatu

"Nafurahi kumuona Fiston akiwa amerejea tena kikosini kwa ajili ya kuanza maandalizi ya michezo inayokuja mbele yetu," alisema Mwambusi

Kama hakutakuwa na mabadiliko ya Ratiba, katika wiki ya kwanza ya mwezi wa nne Yanga itacheza mechi mbili dhidi ya Tanzania Prisons (FA) na dhidi ya KMC (Ligi Kuu)

 

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’