Mkufunzi wa makipa Razak Siwa tayari ameanza majukumu yake kuwanoa walinda lango wa Yanga
Siwa anatajwa kuwa mwalimu bora wa makipa katika ukanda wa Afrika Mashariki
Itoshe kusema Farouk Shikhalo, Ramadhani Kabwili na Metacha Mnata wako katika mikono salama!!
ADVERTISE HERE