Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Mwenyekiti wake Dk Mshindo Msolla, wamempongeza Makamu wa Rais Mteule Dk Philip Mpango aliyeidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mapema leo baada ya kupendekezwa na Rais Mh Samia Suluhu Hassan
ADVERTISE HERE