Hizi ni alama 12 za ubingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Mar 2021
Hizi ni alama 12 za ubingwa

Mwezi wa nne vinara wa ligi kuu ya Vodacom Yanga watabakia jijini Dar es salaam kucheza mechi nne muhimu ambao zinaweza kutoa taswira ya ubingwa msimu huu

Mkakati uliopo ni kuhakikisha Wananchi wanazoa alama zote 12 kutoka katika michezo hiyo na kujiweka katika nafasi nzuri

Mchezo wa kwanza ni dhidi ya KMC ukitarajiwa kupigwa April 10, utafuatia mchezo dhidi ya Biashara United April 17,  Gwambina Fc April 20 na Azam Fc April 25

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’