Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua Kigamboni kujiandaa na michezo iliyosalia kukamilisha msimu kwenye ligi pamoja na kombe la FA
Kocha Juma Mwambusi amerejesha morali ya wachezaji na kwa hakika dalili njema zinaonekana kuwa hakuna utani kuhusu ubingwa wa 28
Habari njema zaidi ni kuwa nyota wote waliokuwa majeruhi wamerejea isipokuwa Mapinduzi Balama ambaye licha ya kupona majeraha yake, ameanza na program maalum ya mazoezi
Kazi inaanza wiki ijayo kwa mchezo dhidi ya KMC








ADVERTISE HERE