Kisinda anasubiri kuwaadhibu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Apr 2021
Kisinda anasubiri kuwaadhibu

Winga wa Yanga Tuisila Kisinda ameendelea kujiweka sawa kuendeleza pale alipoishia ligi iliposimama mwezi uliopita

Kisinda yuko katika orodha ya wachezaji waliocheza dakika nyingi ndani ya kikosi cha Yanga

Amehusika katika mabao tisa akifunga manne na kutoa pasi tano za mabao

Mcongomani huyo amepata muda wa kutosha kufanya maandalizi kwani hakuwa miongoni mwa wachezaji waliokuwa na majukumu ya timu za Taifa

Huyu ni mchezaji ambaye Wanayanga wana wanamuamni na wana matumaini makubwa kwake

Hakika mchango wake umeonekana msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’