Zawadi kwa 'Bosi'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Apr 2021
Zawadi kwa 'Bosi'

Kiungo Mcongoman Mukoko Tonombe juzi alimzawadia jezi ya timu ya Taifa ya DR Congo Rais wa GSM Ghalib Said Mohammed baada ya mechi ya kirafiki baina ya vikosi vya Yanga

Ghalib alitembelea kambi ya Yanga Kigamboni na kushuhudia mchezo huo ambao ulikuwa sehemu ya program ya mazoezi ya kocha Juma Mwambusi

Mukoko aliitwa kuitumikia timu ya Taifa ya DR Cong mwezi uliopita na alicheza mechi zote mbili dhidi ya Gabon na Gambia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’