Cannavaro avutiwa na kiwango cha Mkomola

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
19 Dec 2017
Cannavaro avutiwa na kiwango cha Mkomola
Nahodha wa Yanga, beki Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amesema, Yohana Mkomola, ameanza vizuri na anaamini atakuwa msaada kwa timu.

Mkomola aliyesajiliwa kutoka Serengeti Boys na ambaye amepewa jezi namba 31, ameanza kucheza mechi ya kwanza ya Yanga dhidi ya Polisi Tanzania Jumapili iliyopita tangu aliposajiliwa katika dirisha dogo.

“Nafurahi kuona usajili mpya kwenye timu, nafikiri wanaweza kusaidia timu na uongozi umeliona hilo ndiyo maana wakasajili.

"Kwa upande wangu, Mkomola ameanza vizuri kwenye timu, namfahamu ni kijana mdogo na yuko vizuri,”alisema Cannavaro.

Kwa upande wa Mkomola alisema, anafurahi kuwepo ndani ya kikosi hicho, anaomba ushirikiano na wamuamini ili atafanye kazi nzuri.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE →
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE →
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE →
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE →
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE →
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE →