Ikiwa sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC ambao utapigwa Jumamosi, April 10, Yanga leo ilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya African Lyon
Wananchi wameondoka na ushindi wa mabao 3-0 wakipachika mabao yao kupita Fiston Abdulrazak, Michael Sarpong na Paulo Godfrey 'Boxer'
Ilikuwa ni mechi ya kirafiki ya ndani maalum kwa ajili ya kuziandaa timu zote kuelekea mechi za ligi kuu na ligi daraja la kwanza zitakazoanza kupigwa mwishoni mwa wiki
ADVERTISE HERE