Prisons vs Yanga (FA) kupigwa April 30

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Apr 2021
Prisons vs Yanga (FA) kupigwa April 30

Raundi ya tano ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (16 bora) ambayo ratiba ilibadilishwa kutokana na maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dk John Magufuli, sasa itapigwa mwishoni mwa mwezi huu kati ya Aprili 28 hadi Mei 02

Mchezo kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Yanga sasa utapigwa April 30, 2021. Ratiba ya mechi zote za hatua ya 16 bora ni kama inavyoonekana hapa chini

Washindi wa michezo hii watatinga robo fainali

28/04/2021

Rhino Rangers vs Arusha FC.

 

29/04/2021

Biashara United vs Ruvu Shooting.

Azam FC vs Polisi Tanzania.

 

30/04/2021

Mwadui FC vs Coastal Union.

Tanzania Prisons vs Yanga SC.

 

01/05/2021

Dodoma Jiji vs KMC.

Simba SC vs Kagera Sugar.

 

02/05/2021

JKT Tanzania vs Namungo FC.

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’