Carlinho anarejea kuivaa Biashara United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Apr 2021
Carlinho anarejea kuivaa Biashara United

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Carlos Fernandes Carmo 'Carlinhos' amemaliza adhabu ya kadi nyekundu na hivyo yuko tayari kurejea kikosini katika mchezo unaofuata dhidi ya Biashara United

Kurejea kwa Carlinhos ni habari njema kwa kikosi cha kocha Juma Mwambusi ambaye anasaka ushindi wake wa kwanza tangu akabidhiwe mikoba ya kuinoa Yanga akiwa Kaimu kocha mkuu

Carlinhos amehusika kwenye mabao matano msimu huu akifunga mabao matatu na kutoa pasi mbili za mabao ndani ya VPL

Kwa mara ya kwanza huenda nyota huyo raia wa Angola akacheza pamoja na Saido Ntibazonkiza mchezo ujao dhidi ya Biashara United

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’