Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi mapema leo ni kuwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Na. 251 kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc utachezwa saa 2:15 usiku Aprili 25, 2021 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya saa 1:00 usiku kama ilivyotangazwa hapo awali.
Sababu ya mabadiliko hayo ni uwanja huo kuwa na matumizi mengine mchana

ADVERTISE HERE