Yanga jana ilipata ushindi muhimu wa mabao 3-1 dhidi ya Gwambina Fc katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Ni ushindi ambao uliwahakikishia Wananchi kubaki kileleni licha ya presha kubwa kutoka kwa watani zao Simba ambao wako katika nafasi ya pili
Matukio mbalimbali yaliyojiri katika mchezo huo
ADVERTISE HERE