Yule kocha wa viungo Jawad Sabri aliyekuwa akisubiriwa kuchukua nafasi ya Edem Mortotsi, ametua nchini na ametambulishwa rasmi tayari kuanza majukumu yake
Jawad raia wa Morocco, ametoka kunako klabu ya Raja Athletic ya nchini Morocco
Wananchi wamedhamiria kusuka benchi la ufundi litakalokuwa na tija
ADVERTISE HERE