Job, Fei Toto, Lamine warejea kikosini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Apr 2021
Job, Fei Toto, Lamine warejea kikosini

Kikosi cha Yanga kimezidi kuimarika kuelekea mchezo wao dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa keshokutwa Jumapili katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Baadhi ya wachezaji waliokuwa majeruhi wamerejea kikosini

Mlinzi Dickson Job, Feisal Salum na Lamine Moro wamerejea mazoezi kujiandaa na mchezo huo

Aidha mlinda lango Metacha Mnata naye amerejea baada ya kumaliza msiba wa Mwanawe uliotokea wiki iliyopita

Nyota ambao bado wako nje ni Tuisila Kisinda na Mapinduzi Balama

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’