Ajib ana kadi tatu za njano, kuikosa Mbao FC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Dec 2017
Ajib ana kadi tatu za njano, kuikosa Mbao FC
Yanga itaivaa Mbao FC siku ya mwisho wa mwaka 2017, Disemba 31 jijini Mwanza kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 12.

Yanga itamkosa mshambuliaji wake fundi wa mpira Ibrahim Ajib ambaye ana kadi tatu za njano.

Ajib alipewa kadi mwenye michezo ya ligi dhidi ya Stand United, Simba na Prisons.

Hata hivyo kurejea kwa Amissi Tambwe kumeondoa hofu juu ya hatma ya safu ya ushambuliaji katika mchezo huo wa 'kisasi'.

Msimu uliopita Yanga ilipoteza michezo yote miwili iliyocheza kwenye dimba la CCM Kirumba dhidi ya Mbao FC.

Mbao FC ilishinda bao 1-0 kwenye mchezo wa nusu fainali kombe la FA na ikaja tena kushinda kwenye mchezo wa mwisho wa mwisho, ligi kuu ya Vodacom hivyo kuifanya Yanga itwae ubingwa kwa tofauti ya mabao.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
39m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’