Winga Tuisila Kisinda amepona majeraha yaliyomfanya akose mchezo uliopita dhidi ya Azam Fc
Kisinda raia wa DR Congo anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa kombe la FA Ijumaa
Kurejea kwake ni habari njema kwa Yanga ambayo imenufaika sana na 'makeke' yake awapo uwanjani
Kisinda ni mmoja wa wachezaji waliocheza dakika nyingi msimu huu katika kikosi cha Yanga
Wengine ni Feisal Salum, Kibwana Shomari, Mukoko Tonombe, Lamine Moro na Bakari Nondo Mwamnyeto
ADVERTISE HERE