Uongozi wa klabu ya Yanga uko katika hatua za mwisho kukamilisha maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Wanachama utakaofanyika mwezi ujao
Yanga imewakumbusha Wanachama wake bila ya kujali aina ya kadi wanazomiliki, walipie ada ya mwaka mmoja ili kuwa na sifa ya kushiriki Mkutano huo

ADVERTISE HERE