Kikosi cha Yanga jioni ya leo kimekamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa kombe la FA dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa kesho Ijumaa uwanja wa Nelson Mandela
Yanga imefanya mazoezi yake ya mwisho katika uwanja huo wa Nelson Mandela




ADVERTISE HERE