Mechi kubwa zinamtambulisha mchezaji - Kisinda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 May 2021
Mechi kubwa zinamtambulisha mchezaji - Kisinda

Winga hatari wa Yanga Tuisila Kisinda 'TK Master' amesema yuko imara kiafya kuelekea mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Kisinda alirejea uwanjani mwanzoni mwa wiki hii baada ya kupona majeraha ya bega yaliyomuweka nje katika michezo dhidi ya Azam Fc na Tanzania Prisons

Nyota huyo mwenye kasi mithiri ya swala, amesema hana hofu yoyote kuikabili Simba kwani amecheza mechi nyingi za dabi wakati akiwa na AS Vita

"Niko sawa nashkuru, tayari kucheza mchezo huu muhimu. Sina hofu yoyote kwani nimecheza mechi hizi mara nyingi. Kidogo mchezo wa kwanza ulinipa presha sababu nilikuwa sifahamu ukubwa wake, lakini mchezo ujao hautakuwa na presha yeyote kwangu"

"Ninaomba mungu anisaidie nikipewa nafasi nicheze kwa nguvu zote ili kuisaidia timu yangu iweze kushinda"

"Mechi kubwa zinamtambulisha mchezaji, nimetambulika sana sababu ya mechi za aina hii wakati nikiwa DR Congo"

"Nitapenda nifanye kazi kubwa zaidi katika mechi ya kesho kuliko hata zile mechi mbili zilizopita," alisema Kisinda

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’