Kikosi cha Yanga leo kimekamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapigwa kesho Jumamosi, uwanja wa Benjamin Mkapa
Mohammed Nasreddine Nabi kocha mkuu wa Yanga amemaliza kazi ya kuwaandaa vijana wake tayari kwa mchezo huo wa kukata na shoka



ADVERTISE HERE