Jana Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) liliitaka Bodi ya Ligi kueleza sababu iliyopelekea mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Yanga uliokuwa upigwe juzi Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa kubadilishwa muda na baadae kuahirishwa
Bodi ya Ligi wametoa taarifa mapema leo wakidai kuwa uamuzi wa kubadilisha muda wa mchezo ulitoka na maagizo waliyopokea kutoka kwa TFF
Aidha Kamati ya Saa 72 itakutana leo kujadili mchezo huo

ADVERTISE HERE