Yanga kuivaa Mwadui Fc robo fainali ASFC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 May 2021
Yanga kuivaa Mwadui Fc robo fainali ASFC

Mabingwa wa kwanza kabisa wa michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) Yanga wamepangwa kukutana na Mwadui FC katika mchezo wa robo fainali

Mwadui Fc watakuwa wenyeji wa mchezo huo ambao utapigwa kule mkoani Shinyanga

Aidha timu ya Biashara United itacheza na Namungo Fc, Simba itacheza na Dodoma Jiji wakati Rhino Rangers watacheza na Azam Fc

Kama Yanga itavuka hatua ya robo fainali, mchezo wa nusu fainali itacheza na mshindi kati ya Biashara United dhidi ya Namungo Fc

Wakati mshindi wa mchezo kati ya Simba dhidi ya Dodoma Jiji, atakutana na mshindi wa mchezo kati ya Rhino Rangers dhidi ya Azam Fc

Mechi za robo fainali zitapigwa May 25/26

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
53m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’