Aliyekuwa mlinda lango namba moja wa Yanga, Deogratius Munish 'Dida' amewasili nchini Afrika Kusini kufanya majaribio katika klabu ya Pretoria University inayoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini PSL.
Dida hakuweza kusaini mkataba wa kuendelea kuitumikia Yanga akiomba apewe nafasi kwenda kujaribu bahati yake nje ya nchi.
Awali hakuwa tayari kuweka wazi timu anayokwenda.
Sisi familia ya Yanga tunamtakia kila la kheri afanikiwe majaribio hayo.
Kufanikiwa kwake ni faraja kwetu lakini pia kutafungua njia kwa wachezaji wengine kutoka Yanga na Tanzania kupata nafasi ya kusakata kabumbu nchini humo.

ADVERTISE HERE