Uongozi wa Tanzania Prisons umeridhia adhabu ya kufungiwa michezo mitano pamoja na kutakiwa kulipa faini ya Tsh Laki Tano nahodha wao Benjamin Asukile
Ni kutokana na matamshi yasiyo ya kiungwana ambayo aliyatoa dhidi ya Yanga baada ya mchezo wa kombe la FA ambao Prisons walichapwa bao 1-0 Sumbawanga
Prison wameliomba radhi Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), viongozi, mashabiki na Wanachama wa klabu ya Yanga pamoja na waamuzi wa mchezo huo

ADVERTISE HERE