Kikosi cha Yanga kiliondoka jijini Dar es salaam mapema leo kuelekea Mtwara ambako watafanya maandalizi yao ya mwisho kabla ya kuelekea mkoani Lindi wanakokabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc
Yanga tayari imetua Mtwara kujifua tayari kwa mchezo huo utakaopigwa Jumamosi, May 15, uwanja wa Majaliwa, Ruangwa

ADVERTISE HERE