Yacouba mabao saba, gari limewaka!

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 May 2021
Yacouba mabao saba, gari limewaka!

Yacouba Songne ameendelea 'kuinogesha' akaunti yake ya mabao leo akifunga bao lake la saba msimu huu

Hilo ni bao la 13 Yacouba anahusika katika kikosi cha Yanga akiwa pia na mabao sita aliyosaidia kufungwa

Yacouba ana mwenendo mzuri wa kuzifumania nyavu tangu apone majeraha ya nyama za paja yaliyokuwa yakimuweka nje mara kwa mara

Kama bao alilofunga kwenye mchezo uliopita dhidi ya Namungo Fc lisingekataliwa, sasa angekuwa akihesabu mabao nane

Yacouba kwa sasa ndiye mshambuliaji kinara wa mabao kwenye kikosi cha Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’